FAQ
Frequently Asked Questions
Maswali yanayoulizwa mara kwa mara kuhusu huduma za Soko Mtaani.
Mnafanya delivery?
Ndio, tunafanya delivery ndani na nje ya mji kulingana na eneo la mteja.
Delivery inachukua muda gani?
Delivery hufanyika ndani ya saa 1-24 kutegemea eneo la mteja.
Njia gani za malipo mnazokubali?
Tunakubali Cash, M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money, HaloPesa na malipo ya benki.
Naweza kuagiza bidhaa nyingi kwa pamoja?
Ndio, unaweza kuwasiliana nasi kuhusu bidhaa nyingi na tutakutumia quotation au invoice.
Ni siku gani mnafanya kazi?
Tunatoa huduma kuanzia Jumatatu hadi Jumamosi, saa 08:00 asubuhi hadi saa 11:00 jioni.
Bei zenu zinaweza kubadilika?
Ndio, bei zinaweza kubadilika kulingana na hali ya soko.
Nikipata bidhaa yenye tatizo nifanye nini?
Wasiliana nasi mara moja ili tufanye utaratibu wa kubadilisha bidhaa au kutatua changamoto iliyojitokeza.
Ninawezaje kuwasiliana nanyi?
Unaweza kutupigia simu, kututumia WhatsApp, au kututumia barua pepe wakati wa saa za kazi.